.

M'Barik Fall Lyrics

Kama haumujuwe
Kama hujamuona
Ni yeye M'barik Fall
Amekwenda peke yake
Mutoto akafika ulaya
Njo yeye M'barik fall
Ni sekele ni sekele ya ye
Ukapigana ukawina
Baba yo moko bwana M'barik Fall
Battling Siki
Ukapigana ukawina
Baba yo moko bwana M'barik Fall
Wakaku ita ugombane
Ukamupiga muzungu
Bila dawa M'barik Fall
Ahiyama ahiyele maye o
Ni sekele ni sekele ya ye
Report lyrics
Ya Pili... (1994)
Sambolera Mayi Son Mama Lusiya African Cooperation Mwana Wa Mama Umenipa Njiya Qur Pasa En El Mundo Haya Sous Le Charme M'Barik Fall Rosy Save Us Fiya Liberte La Ballade De Gilles et Shana